Mimi nitachagua Volvo, kwa sababu BMW ninalo tayari.Wakati mwengine muulizaji anakua mjuzi zaidi kuliko muulizwaji.
Kwa faida ya wengi naomba mimi nikuulize hilo swali.
Wewe unachagua ipi na kwa nini?
Kumbe sababu kuu unayo tayari ndio maana ukachagua hiyo Volvo.Mimi nitachagua Volvo, kwa sababu BMW ninalo tayari.
Volvo linatumiamafuta vizuri zaidi, lina nafasi kubwa zaidi, lakini katika uendeshaji, BMW linafeel vizuri zaidi (sporty).
Natafuta kati ya Volvo XC90, Porsche Macan or Benz GLS.
Maisha mafupi,tunaotumiamuda mwingi barabaraninibora tujipendeleekwa mikokoya maana.
Hahahahahaa LOLMungu akujaalie ufanikiwe[emoji122] [emoji122]
Nimejikuta tu....900 itapendezaHahahahahaa LOL
Meku unafanya nini hapa mangi?
Xmass imekaribia mangi, na kwetu treni haiendi...LOLNimejikuta tu....900 itapendeza
Mkuu nina shida na premio 2010 plzMark 11 Grande Gx110,namba (DDK) ,model 2001,1980CC,mileage 70614km, bei 8M, contact 0689699704View attachment 632732View attachment 632733
Ipo mkuuMkuu nina shida na premio 2010 plz
Picha na beiIpo mkuu
Mbona surfu huweki mkuuToyota volts 16.5M,service bure na mafuta full tank bure View attachment 625553View attachment 625554View attachment 625555View attachment 625557View attachment 625558
In a kilometer ngapi na sh ngapi
Ok being nimeiona mwisho kabisa ngapi wafika
Yeah hata mm nafikiri hivoMkuu gharama za kuchange ownership ni kiasi gani? Then ingekua vyema kama una group la whatsapp inakua rahisi kupata real-time updates