Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Wakati mwengine muulizaji anakua mjuzi zaidi kuliko muulizwaji.
Kwa faida ya wengi naomba mimi nikuulize hilo swali.
Wewe unachagua ipi na kwa nini?
Mimi nitachagua Volvo, kwa sababu BMW ninalo tayari.

Volvo linatumiamafuta vizuri zaidi, lina nafasi kubwa zaidi, lakini katika uendeshaji, BMW linafeel vizuri zaidi (sporty).

Natafuta kati ya Volvo XC90, Porsche Macan or Benz GLS.

Maisha mafupi,tunaotumiamuda mwingi barabaraninibora tujipendeleekwa mikokoya maana.
 
Kumbe sababu kuu unayo tayari ndio maana ukachagua hiyo Volvo.
Kwa mujibu wa maelezo yako zote mbili ni nzuri na zinazidiana baadhi ya sifa.

Wacha mimi nichangamkie deal, nakutafutia mojawapo kati ya hizo tatu ulizotaja.
 
Suzuki Swift, bei 5.5M,contact 0689699704
IMG-20171117-WA0041.jpg
IMG-20171117-WA0040.jpg
IMG-20171117-WA0039.jpg
IMG-20171117-WA0038.jpg
IMG-20171117-WA0037.jpg
IMG-20171117-WA0034.jpg
IMG-20171117-WA0029.jpg
IMG-20171117-WA0034.jpg
 
Crown Royal saloon, fresh from Japan, model 2007,2.5CC,bei 17.5M,registration na transfer ni juu yetu, contact 0689699704
IMG-20171117-WA0057.jpg
IMG-20171117-WA0056.jpg
IMG-20171117-WA0055.jpg
IMG-20171117-WA0053.jpg
IMG-20171117-WA0054.jpg
IMG-20171117-WA0051.jpg
IMG-20171117-WA0052.jpg
IMG-20171117-WA0050.jpg
IMG-20171117-WA0049.jpg
IMG-20171117-WA0048.jpg
IMG-20171117-WA0047.jpg
 
Mark 11 Grande Gx110,namba (DDK) ,model 2001,1980CC,mileage 70614km, bei 8M, contact 0689699704
FB_IMG_1510992681683.jpg
FB_IMG_1510992679621.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom