Kweli kabisa Mkuu wapo watu wanapenda vitu tofauti "barikiwa Sana "Ndio sema sizitilii maanani,nextime nikiipata itabidi niipost maana huwezi jua ni gari gani itamvutia mwenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru legacy 2006,Subaru Forester
Mwaka:2008
2450CC
Bei: Milioni 24.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 995414View attachment 995415View attachment 995416
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu you made my day, comrade Master[emoji12]Master naona umeamua kutukomoa mzee hzo gar zabei hyo haxiendan na uzi huu weka Bei za kunyonga za kuchinja wengi humu hatuziwezi ukiangalia na usawa huu niwekee Nissan xtrail Kali ya Bei ndogo kabisa tuone Kama kweli unaishi Tanzania.
Huyu jamaa ni msikivu najua atakuja kujibu na kuchanganya ladhaJamaa anatisha kwasiku hizi kuanzia mwishon mwa Dec had leo jamaa kaamua aisee siunaona Bei zake?
Ajaribu kuleta zile za Bei zetu ambazo huwa akipost tuu utaskia nna kadhaa hyo utaskia anakujibu hyo ishatoka
mkuu unatukatisha tamaa wateja wako,hizo gari za m20 peleka yadi tu usituletee hapaToyota Allion
Mwaka:2010
70000km
Bei: Milioni 20
Mawasiliano:0658124554View attachment 995596View attachment 995597View attachment 995598
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiache kufuatilia uzi mkuu,tangia jana nipo chimbo nakutafutia hiyo XtrailMaster naona umeamua kutukomoa mzee hzo gar zabei hyo haxiendan na uzi huu weka Bei za kunyonga za kuchinja wengi humu hatuziwezi ukiangalia na usawa huu niwekee Nissan xtrail Kali ya Bei ndogo kabisa tuone Kama kweli unaishi Tanzania.
Nikiipata boss nitakujuzaSubaru legacy 2006,
Single turbo BP5
Black in color (preferably
With moonroof
Touring Wagon
Ukipata nistue,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa wakuu nimewasikia,nitaweka gari mshindwe nyie tu kununuaJamaa anatisha kwasiku hizi kuanzia mwishon mwa Dec had leo jamaa kaamua aisee siunaona Bei zake?
Ajaribu kuleta zile za Bei zetu ambazo huwa akipost tuu utaskia nna kadhaa hyo utaskia anakujibu hyo ishatoka