Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota RAV4
Mwaka:2014
21000km
Bei: Milioni 60
Mawasiliano:0658124554
FB_IMG_1547581848632.jpg
FB_IMG_1547581853475.jpg
FB_IMG_1547581855887.jpg
FB_IMG_1547581859192.jpg
FB_IMG_1547581876860.jpg
FB_IMG_1547581866762.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Master naona umeamua kutukomoa mzee hzo gar zabei hyo haxiendan na uzi huu weka Bei za kunyonga za kuchinja wengi humu hatuziwezi ukiangalia na usawa huu niwekee Nissan xtrail Kali ya Bei ndogo kabisa tuone Kama kweli unaishi Tanzania.
 
Mkuu you made my day, comrade Master[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Master naona umeamua kutukomoa mzee hzo gar zabei hyo haxiendan na uzi huu weka Bei za kunyonga za kuchinja wengi humu hatuziwezi ukiangalia na usawa huu niwekee Nissan xtrail Kali ya Bei ndogo kabisa tuone Kama kweli unaishi Tanzania.
Usiache kufuatilia uzi mkuu,tangia jana nipo chimbo nakutafutia hiyo Xtrail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom