Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Inahitajika pesa ya haraka
Toyota Ist
Bei: Milioni 8 imepungua kutoka 8.5 mpaka Milioni 8
Mawasiliano:0658124554
FB_IMG_1550817892166.jpeg
FB_IMG_1550817890022.jpeg
FB_IMG_1550817898548.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
X3 na X5 zipo ,pesa yako isipungue Milioni 20

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, Mkuu unaweza kunipa Hints kidogo kwamba, Kati ya BMW x5 na Harrier ipi nzuri kwa matumizi? I mean unywaji wa mafuta, ugumu wa kuhimili mikikimikiki, Speeding up pamoja na Upatikanaji wa spea? Naomba Hints mkuu kama unanafasi nahitaji kufanya maamuzi sahihi kati ya gari hizi mbili

Kwa upande wakiuchumi harrier ni chaguo sahihi na kwa upande wa ubora bmw ipo juu zaidi.
Maamuzi yatategemea ni upande gani utachagua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom