Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nitumie picha ya engine ya gari hii Mkuu. Gari iko wapi hii nimeipenda.Toyota wish
Mwaka:2004
1780CC
Bei: Milioni 9.7
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1029801View attachment 1029802View attachment 1029803View attachment 1029804
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa picha mkuuNitumie picha ya engine ya gari hii Mkuu. Gari iko wapi hii nimeipenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia milioni 16 mpaka 20 unapata harrier nzuriHiv harrier new model namba C au D ambayo ipo katika hari nzuri naweza pata kwa shilingi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavunja hii??Toyota Vanguard
Mwaka:2007
1700CC
84000km
Bei: Milioni 27.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza? wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1027394View attachment 1027395View attachment 1027396
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, Mkuu unaweza kunipa Hints kidogo kwamba, Kati ya BMW x5 na Harrier ipi nzuri kwa matumizi? I mean unywaji wa mafuta, ugumu wa kuhimili mikikimikiki, Speeding up pamoja na Upatikanaji wa spea? Naomba Hints mkuu kama unanafasi nahitaji kufanya maamuzi sahihi kati ya gari hizi mbili
Dah. Hela wewe hela uko wapi gari ya ndoto zangu ila one day yes tu, maadam bado ninaishiSuzuki Escudo
Mwaka:2007
1990CC
Bei: Milioni 13.5
Mawasiliano:0658124554View attachment 1002080View attachment 1002081View attachment 1002085View attachment 1002084View attachment 1002083
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wakiuchumi harrier ni chaguo sahihi na kwa upande wa ubora bmw ipo juu zaidi.Ok, Mkuu unaweza kunipa Hints kidogo kwamba, Kati ya BMW x5 na Harrier ipi nzuri kwa matumizi? I mean unywaji wa mafuta, ugumu wa kuhimili mikikimikiki, Speeding up pamoja na Upatikanaji wa spea? Naomba Hints mkuu kama unanafasi nahitaji kufanya maamuzi sahihi kati ya gari hizi mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss Tanzania DAK
Asante Mkuu, unaonekana una uzoefu wa kutosha sector hii. Ntakucheki anytime Soon Bro.Kwa upande wakiuchumi harrier ni chaguo sahihi na kwa upande wa ubora bmw ipo juu zaidi.
Maamuzi yatategemea ni upande gani utachagua
Sent using Jamii Forums mobile app