Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
KaribuAsante Mkuu, unaonekana una uzoefu wa kutosha sector hii. Ntakucheki anytime Soon Bro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman nina vigari vingi ndugu zangu wamefulia wanataka kuviuza kama unahitaji 0674497230
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujajua magari wewe! Eti unabana pua kabisa "nataka IST namba D"naitaji ist no D
kama gharama zote na bei ya kununua ni 6M hiyo fuga ulinunua bei gani asee? isijekua ulinunua gari isiyotembea kabisa....Kununua gari zilizotumika bongo ni kutafuta ugonjwa wa Moyo. Niliwahi Kununua Nissan fuga kwa mtu asee imenila pesa ikiwemo kubadili injin, gearbox, tairi na seat cover. Nikiongeza na bei ya Kununua 6m bora ningeagiza Japan
Mkuu kununua gar used tu iwe bongo au japan ni Bahat tu wapo wanao agza gar likija unasema sio lile uliloliona kwenye picha inshort ukitaka gar ilyokamilika ingia yard mwenywe tuKununua gari zilizotumika bongo ni kutafuta ugonjwa wa Moyo. Niliwahi Kununua Nissan fuga kwa mtu asee imenila pesa ikiwemo kubadili injin, gearbox, tairi na seat cover. Nikiongeza na bei ya Kununua 6m bora ningeagiza Japan
Humu anauza, haendekezi mapenzi !Weka rambogini apoo...+Land lover discovery 5 ahhh nazpenda sana hizi gari