monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Oya Mzee baba mrangi mbona hii Prado kuna Dalali kitaa anaiuza bei kubwa sana tofauti na maelezo yako?Uza hiyo prado ni ya jamaa yangu
Engen 3rz.....Gari Umenyooka haigongi,full ac utafikiri imetoka jna Japan
Bei mln 14
Na pia anaweza kubadilishana na gari ndogo ist au raum na ukamuongezea pesa
Ukipata mtu nistue nkulink na mwenye Gari
Ova
View attachment 1071573View attachment 1071575View attachment 1071576View attachment 1071577
Sent using Jamii Forums mobile app