monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Oya Mzee baba mrangi mbona hii Prado kuna Dalali kitaa anaiuza bei kubwa sana tofauti na maelezo yako?Uza hiyo prado ni ya jamaa yangu
Engen 3rz.....Gari Umenyooka haigongi,full ac utafikiri imetoka jna Japan
Bei mln 14
Na pia anaweza kubadilishana na gari ndogo ist au raum na ukamuongezea pesa
Ukipata mtu nistue nkulink na mwenye Gari
Ova
View attachment 1071573View attachment 1071575View attachment 1071576View attachment 1071577
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmmhhhNaweza pata vitz old model cc 990 four cylinder namba B au C kwa m 3?
Huyo syo mmiliki bei ya mmiliki ndy hiyoOya Mzee baba mrangi mbona hii Prado kuna Dalali kitaa anaiuza bei kubwa sana tofauti na maelezo yako?
duuh hata kama ni Dalali kajipakulia mno nyama, mwambieni asitake kula sawa na bosi bwana
Hahahahaduuh hata kama ni Dalali kajipakulia mno nyama, mwambieni asitake kula sawa na bosi bwana
Ipo ya Milioni kumi, tuwasiliane 0658124554Bei gani yenye upo nayo..?
Usile Mbegu.
Hii ndo chuma afu kitu manualSubaru Forester
Mwaka 2004
Manual
4wd with high & low
Bei: Milioni 11.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako View attachment 1078846View attachment 1078848View attachment 1078849View attachment 1078850View attachment 1078851
Daah hii mashine jamani! Naikubali sana.Toyota Landcruiser Amazon
Diesel
Manual
Bei: Milioni 35
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1068494View attachment 1068495View attachment 1068501View attachment 1068503
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa sikuhizi anapost gari za kitajiri tupuMkuu master tuwekee gari za bei zetu kuanzia m4 mpka m 6 izi za mamilioni waachie akina piere Boss
Sent using Jamii Forums mobile app