monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkuu hamna alielazimishwa kununua, afu kila mtu ana level yake ya maisha,Mnapataje nguvu kununua gari ina mileage kubwa hivyo?.
Laki 2 plus mhhhh...au ndo inakua ngangari?.
Na kweli ila Mhhh kiduku lilo ni namba nyingineMkuu hamna alielazimishwa kununua, afu kila mtu ana level yake ya maisha,
Gari level ya kiduku Lilo sio kila mtu anaweza nunua