monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Mkuu hamna alielazimishwa kununua, afu kila mtu ana level yake ya maisha,Mnapataje nguvu kununua gari ina mileage kubwa hivyo?.
Laki 2 plus mhhhh...au ndo inakua ngangari?.
Gari level ya kiduku Lilo sio kila mtu anaweza nunua