Toyota Fortuner
Mwaka:2005
2700CC
2TR Engine
Bei: Milioni 25
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1210970View attachment 1210971View attachment 1210972View attachment 1210974View attachment 1210975
Mkuu Hii fortune ina engine gani VVTI au D4D?
kati ya IST na SPACIO ipo yenye cc ndogo sana na n sh ngap coz similik shell
hyo ya plate namba c zpo show room au kutoka kwa watumiaj wanaoziuzaaIst mkuu inakua na 1290CC Spacio zinaanzia 1490CC
Bei inategemea unataka iwe imetumika kwa muda gani kwa number plate C zinaanzia Milioni 7.5 na namba D ni kuanzia Milioni 8.5
hyo ya plate namba c zpo show room au kutoka kwa watumiaj wanaoziuzaa
Range Rover Vogue
Mwaka:2007
3600CC
Diesel
Bei: Milioni 25
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1188721View attachment 1188722View attachment 1188723View attachment 1188724View attachment 1188725
Mnapataje nguvu kununua gari ina mileage kubwa hivyo?.
Laki 2 plus mhhhh...au ndo inakua ngangari?.
Master mabo vp,Hapa naongelea gari zilizotumika ukihitaji ya showroom kuna mzigo wa Ist 7 umeingia inatakiwa milioni 10 ,bei inajumuisha usajili
Master mabo vp,
Huo mzigo uloshuka wa IST 7 waweza nicheki tufanye Biashara nahitaji Moja.