Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Nissan Xtrail na Toyota Cami naona zitafaa zaidi maana ziko juu hii wish itakusumbua kwenye mashimo
Master nimepitia magari yako yafuatayo nimeyakubali Nisan X-trail , Toyota Cami na Toyota Wish
Mazingira ya lindi na mtwara na wilaya zake 99% barabara za vumbi je aina gani itanifaa
 
Tutume tukuagizie gari Japan kwa uaminifu na usalama wa hali ya juu.

Hii ni
Toyota Ractis 2wd
1500CC
Mwaka:2006
Milleage:43500km
Bei: Milioni 10.5 mpaka inakufikia mikononi
Malipo ya awali ni Milioni 6 kisha Milioni 4.5 italipwa baada ya gari kufika.

Maelezo ya ziada
Anti-Lock Brakes/Driver Airbag/Passenger Airbag/A/C:front/Cruise Control/Power Steering/Remote Keyless Entry/Power Windows/Rear Window Defroster/Rear Window Wiper/Tinted Glass/AM/FM Radio/AM/FM Stereo/CD Player/Power Door Locks/Power Mirrors/No accidents

Mawasiliano:0658124554
IMG-20190925-WA0150.jpeg
IMG-20190925-WA0151.jpeg
IMG-20190925-WA0152.jpeg
IMG-20190925-WA0153.jpeg
IMG-20190925-WA0149.jpeg
 
Tutume tukuagizie gari Japan kwa uaminifu na usalama wa hali ya juu.

Hii ni
Toyota Ractis 2wd
1500CC
Mwaka:2006
Milleage:43500km
Bei: Milioni 10.5 mpaka inakufikia mikononi
Malipo ya awali ni Milioni 6 kisha Milioni 5.5 italipwa baada ya gari kufika.

Maelezo ya ziada
Anti-Lock Brakes/Driver Airbag/Passenger Airbag/A/C:front/Cruise Control/Power Steering/Remote Keyless Entry/Power Windows/Rear Window Defroster/Rear Window Wiper/Tinted Glass/AM/FM Radio/AM/FM Stereo/CD Player/Power Door Locks/Power Mirrors/No accidents

Mawasiliano:0658124554View attachment 1216100View attachment 1216101View attachment 1216102View attachment 1216103View attachment 1216104
Tazama vizuri kwenye bei master, ni milioni 10.5 au 11.5
 
Scania complete na tela lake
Sasa bei imepungua ni Milioni 50 tu
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20190925-WA0013.jpeg
IMG-20190925-WA0014.jpeg
IMG-20190925-WA0015.jpeg
 
Land cruiser pick up
Mwaka:2017
Engine:1HZ
38000km
Bei: Milioni 145
Mawasiliano:065812454

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20190925-WA0041.jpeg
IMG-20190925-WA0042.jpeg
IMG-20190925-WA0040.jpeg
IMG-20190925-WA0039.jpeg
IMG-20190925-WA0040.jpeg
 
Tutume tukuagizie gari kutoka Japan

Hii ni Harrier new model
Mwaka 2003
2436CC 4 cylinder
84000km
Bei: Milioni 24 mpaka inakufikia mikononi
Malipo ya awali ni Milioni 14 kisha Milioni 10 baada ya gari kufika

Mawasiliano:0658124554
IMG-20190926-WA0032.jpeg
IMG-20190926-WA0036.jpeg
IMG-20190926-WA0034.jpeg
IMG-20190926-WA0037.jpeg
IMG-20190926-WA0038.jpeg
IMG-20190926-WA0039.jpeg
 
Toyota Dyna
Tani 3.5
Stadi 6 unafunga rim ya fuso
Bawaba 8
Bei: Milioni 35
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20190927-WA0038.jpeg
IMG-20190927-WA0032.jpeg
IMG-20190927-WA0034.jpeg
IMG-20190927-WA0033.jpeg
IMG-20190927-WA0036.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20190927-WA0036.jpeg
    IMG-20190927-WA0036.jpeg
    76.2 KB · Views: 20
  • IMG-20190927-WA0037.jpeg
    IMG-20190927-WA0037.jpeg
    78.2 KB · Views: 21
Naweza kupata Starlet kwa 3.5m iliyo kwenye hali nzuri mkuu...note mm ni kipato changu kidogo sitaki niwe rafiki na fundi
 
Scania R420
Inauzwa complete na Tela yake
Manual
Tela ni heavy duty
Bei: Milioni 70
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20190927-WA0021.jpeg
IMG-20190927-WA0022.jpeg
IMG-20190927-WA0005.jpeg
IMG-20190927-WA0014.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom