Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Master nimepitia magari yako yafuatayo nimeyakubali Nisan X-trail , Toyota Cami na Toyota Wish
Mazingira ya lindi na mtwara na wilaya zake 99% barabara za vumbi je aina gani itanifaa
Tazama vizuri kwenye bei master, ni milioni 10.5 au 11.5Tutume tukuagizie gari Japan kwa uaminifu na usalama wa hali ya juu.
Hii ni
Toyota Ractis 2wd
1500CC
Mwaka:2006
Milleage:43500km
Bei: Milioni 10.5 mpaka inakufikia mikononi
Malipo ya awali ni Milioni 6 kisha Milioni 5.5 italipwa baada ya gari kufika.
Maelezo ya ziada
Anti-Lock Brakes/Driver Airbag/Passenger Airbag/A/C:front/Cruise Control/Power Steering/Remote Keyless Entry/Power Windows/Rear Window Defroster/Rear Window Wiper/Tinted Glass/AM/FM Radio/AM/FM Stereo/CD Player/Power Door Locks/Power Mirrors/No accidents
Mawasiliano:0658124554View attachment 1216100View attachment 1216101View attachment 1216102View attachment 1216103View attachment 1216104
6 jumlisha 5.5 kaka ni 10.5?Ni 10.5 mkuu sijakosea utalipia 6 kisha utamalizia 5.5 ikifika
Tazama vizuri kwenye bei master, ni milioni 10.5 au 11.5
Ina ugonjwa gani hii Mkuu,hili watu wajilipueToyota Mark X
Bei: Milioni 4.5
Mawasiliano:0658124554
Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lakoView attachment 1214106View attachment 1214107View attachment 1214108View attachment 1214109View attachment 1214110
Itakuwa ilikula mkengeIna ugonjwa gani hii Mkuu,hili watu wajilipue
Ina ugonjwa gani hii Mkuu,hili watu wajilipue
Toyota HR UNAYO
Toyota HR UNAYO
Ukipata Mazda Tribute ni julishe...
Naweza kupata Starlet kwa 3.5m iliyo kwenye hali nzuri mkuu...note mm ni kipato changu kidogo sitaki niwe rafiki na fundi