Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Fuso Tipa
Engine:6d17
Bei: Milioni 55
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Umeuliza kisataharabu
Toyota HR UNAYO
Ukaulizwa HR inasimama Kama harrier
Unamaanisha Harrier,ya sh ngapi?
Akarudi Tena kwa kukuplease unamaanisha Nini kwenye hiyo Toyota HR akataka muwasiliane ili aelewe HR ni Nini.
Sorry nilikua sijakuelewa,kama unataka Toyota HR nicheki 0658124554
Ulivyo pimbi hata kuandika auwezi jamaa amekuwa muhungwana Sana kwako. Master of the game usijibu mapimbi kama Hawa.
Naitaji gari sio namaba sa sim gari unayoo huna?
 
Ok naona udhan natafuta IST[emoji23] povu la nn kwahyo mm harrier siijui au toyota HR kwako msamiat
 
Eicher Truck
Mwaka:2017
Bei: Milioni 40
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Massey Ferguson Tractor
Mf185 ,ina hydraulic power ,hp75
Imported kutoka South Africa

Imetumika miezi mitatu,hii tractor ni share ya watu watatu sasa wametofautiana interest ndio wamefikia uamuzi wa kuuza.

Bei: Milioni 21.5
Ipo Dar es salaam
Mawasiliano:0658124554


View attachment 1217534
 
Fuso Cranch
Engine:6D17
Bei: Milioni 85
Ishalipiwa ushuru ukilipia gari unafanyiwa usajili
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Nissan Civilian
4 cylinder
Bei: Milioni 8.5
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…