Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Master naomba tu kujua utaratibu wa kutuma gari kutoka dar kuja mkoani hasa mwanza unalishugulikia kiaje? Nikinunua gari kwako ya milioni 6 au zaidi unaweza kuniletea mwanza na kwa gharama gani hasa? Au utaratibu ni lazima nije mwenyewe dar?