Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Fuso ya mzigo
Engine 6d17
Bei: Milioni 35
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
IMG-20200127-WA0220.jpeg
IMG-20200127-WA0221.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Premio New
Cc1490
Full music
Full Ac
Sport rims
Gari ni mpya ukilipia inasajiliwa

Price ni 12.8 million

Contact 0763419265
IMG-20200124-WA0088.jpeg
IMG-20200124-WA0090.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20200124-WA0089.jpeg
    IMG-20200124-WA0089.jpeg
    84.7 KB · Views: 3
Toyota Hilux Double Cabin
Mwaka:2012
Engine 😀4D
Diesel
Manual
Bei: Milioni 60
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako
FB_IMG_1580214096120.jpeg
FB_IMG_1580214098457.jpeg
FB_IMG_1580214101422.jpeg
FB_IMG_1580214112161.jpeg
FB_IMG_1580214106719.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Master naomba tu kujua utaratibu wa kutuma gari kutoka dar kuja mkoani hasa mwanza unalishugulikia kiaje? Nikinunua gari kwako ya milioni 6 au zaidi unaweza kuniletea mwanza na kwa gharama gani hasa? Au utaratibu ni lazima nije mwenyewe dar?
 
Kama ukiridhika tukague gari kwa niaba yako na tufanye malipo kwa niaba swala la kuleta linawezekana ....Mara nyengine hata anakuja mtu kutoka mkoani na sio dereva hua tunakubaliana na kumpeleka mpaka anakoenda... Kikubwa makubaliona tu

Back
Top Bottom