Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Toyota Alphard
Mwaka:2007
2360CC
43000km
Rear and front camera
Bei: Milioni 15.8
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crown athletes
Mwaka:2007
2490CC
86000km
Tairi mpya
Full a/c
Bei: Milioni 14
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harrier new model
Mwaka:2006
2360CC
74000km
Namba DNS
Tairi zote 4 mpya
Bei: Milioni 25
Mawasiliano:0658124554

Kuna gari unahitaji au unayo gari unauza wasiliana nasi tulipatie ufumbuzi hitaji lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20200211-WA0019.jpeg
    94.8 KB · Views: 2

Blaza, hii kauli unaizungumziaje:
Ukinunua gari bongo au kwa mtu ujue tayari lina matatizo ndio maana analisukuma litoke.
Usithubutu kununua gari bongo, bora kuagiza.
 
Hii kauli haina ukweli , umeona kwamfano hiyo Allion namba DP mwenyewe kaagiza katumia miezi michache anataka ahamie kwenye Subaru..
Kuna watu wanashikika na hana kitu cha kumkwamua zaidi ya gari yake je huyu nae ni gari bovu?

Vipi nawewe kama ukinunua hiyo gari mpya hutauza mpaka iwe mbovu ? Hakuna kukamatwa na shida wala kubadili gari mpaka iwe mbovu.

Mimi nionavyo mtu kununua gari mbovu ni kutaka kwake ,kama huyajui magari vizuri kwanini usitafute fundi muaminifu akukagulie kabla hujafanya maamuzi yakununua gari .

Blaza, hii kauli unaizungumziaje:
Ukinunua gari bongo au kwa mtu ujue tayari lina matatizo ndio maana analisukuma litoke.
Usithubutu kununua gari bongo, bora kuagiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…