clarence mitega jr
Member
- Aug 24, 2017
- 41
- 17
Acha kuingilia biashara za watu...Vipo vyote hapo, acha mikurupuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuingilia biashara za watu...Vipo vyote hapo, acha mikurupuko
AnawashawashwaAcha kuingilia biashara za watu...
Wazo zuriSimply unacreate group mkuu then unashare hapa invitation link kanakwamba mtu akiclick hiyo link automatically anakua added kwenye group. Humo gari zote ambazo zinauzwa utakua unazipost so inasaidia mtu kua na wide choice kwa maana naweza nkawa napenda gari.flan lakini nikaiona nyingine nzuri zaidi kwa gharama nafuu nikawa na variety of options. Ni hivo mkuu, itapendeza zaidi
Kimaumbile au Kukuingilia vpAcha kuingilia biashara za watu...
Kapike maongezi ya wanaume hayakuhusu utakula talaka sasa hvAnawashawashwa
Nichek 0742597424nikupe vitz new model no DMku nina shida na IST nzr namba C au D bajeti yangu ni 7m ukikosa nichekia vitz new model mpya
Ustarabu hauzwi dukani, jitahidi uishi naoKapike maongezi ya wanaume hayakuhusu utakula talaka sasa hv
Ustaarabu ni pamoja na kufanya biashara kistaarabu kama nilivyoshauri, ukaanza kuuliza upuuzi, saa hz unajidai mstaarabu, stupidUstarabu hauzwi dukani, jitahidi uishi nao
Ref, nimekujibu upuuzi hapo ju, sawa kaka, nakupa point 3. Go aheadUstaarabu ni pamoja na kufanya biashara kistaarabu kama nilivyoshauri, ukaanza kuuliza upuuzi, saa hz unajidai mstaarabu, stupid
Nimekujibu mkuu hiyo hapo juumkuu upo na noah ya zamani
Bei gani?Rav4
Mwaka :2003
Milango mitatu
1700CC, vvti
73000km
Mawasiliano :0689699704View attachment 647597View attachment 647598View attachment 647599
ndani mkuu