Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu hongera kwa huu uzi. Nataka kumchukulia baba mzazi gari cheap lkn nimetokea kupenda gari aina ya Toyota WiLL nyeusi vipi taipata kwa shilingi ngapi nikuunganishe?
Will hatuna mkuu labda achukue Probox maana ipo kama hii Will
 
Nina budget ya 4.5m mpk 5m nipe options ya gari ulizonazo mkuu..
 
Napenda sana jinsi unavyoijua biashara yako,unajua kujibu maswali vizuri hata Yale ambayo hayana maana,keep it up
 
Nina budget ya 4.5m mpk 5m nipe options ya gari ulizonazo mkuu..
Ok mkuu....
Premio old model, 1790CC, bei 4.7M
Suzuki kei ya mwaka 2003,650CC,80000km,bei 4.7M
Opa ya 2001.1790CC,120000km bei 5M
Suzuki swift, ya 2003,1300CC,120000km bei 4.2M
Rav4 short Chasis, 140000M, 1990CC, 3s engine bei 5M
 
Toyota Kluger mwaka 2002/2003
2.4 CC vvti
Full body kitted
Mint condition
Bei :22.5M
Mawasiliano :0689699704
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…