Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Will hatuna mkuu labda achukue Probox maana ipo kama hii WillMkuu hongera kwa huu uzi. Nataka kumchukulia baba mzazi gari cheap lkn nimetokea kupenda gari aina ya Toyota WiLL nyeusi vipi taipata kwa shilingi ngapi nikuunganishe?