Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Je unaweza ukaweka gari aina ya Aphard 5? na inakwenda kwa kiasi gani?
 
I wish vigari kama CAMI au Passo vingekuwa na uimara wa hii gari, au walau wangeitoa model mpya warekebishe hiyo posture ya nyuma, gari ngumu sana hii tatizo shape tu
Kweli mkuu Probox ni imara lakini muundo wake hauvutii hasa kwa vijana
 
Mkuu crown athlete iliyopo kwenye bandiko No. 599 bei ya mwisho ngapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…