Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Aisee ndugu hakuna uzi naufuatilia humu kama huu ila narudia tena jitahidi kuweka picha za ndani za magari yako ( interior) itapendeza sana
 
Mkuu,hii Toyota VIOS,inaingiliana na gari gani kwa uzoefu wako? Je ni Premio Model mpya,Beta,Allion, au Corolla X?
Msingi wa swali langu ni kuangalia compatibility,ili kuwa na uhakika wa spea. Gari ni zuri,cc chache na hivyo fuel economy.
Mkuu bado sijafahamu kua inaingiliana na gari gani, bado najitahidi kuuliza nikipata jibu nitakujuza.
Hata hivyo spare sio jambo lakuhofia tena sababu zinapatikana kwa urahisi.
Hii Vios mkuu imeshauzwa
 
Aisee ndugu hakuna uzi naufuatilia humu kama huu ila narudia tena jitahidi kuweka picha za ndani za magari yako ( interior) itapendeza sana
Nafurahi sana ndugu kama unaufuatilia huu uzi mkuu, usichoke kufuatilia.

Niliona maoni yako mkuu najitahidi kuyafanyia kazi japo kwa sasa napata ugumu lakini naamini siku za mbele kiasi kama cha mwezi au miezi miwili nitaweza kuyafikia kikamilifu matakwa yako na kuyafanyia kazi .

Kwa sasa zipo changamoto saa nyengine wenzangu wanakua wazito kupiga picha za ndani na za engine na kutokana na uzuri wa gari unakuta nalipost tu hivyo hivyo ili na nyie wenzangu mpate kujionea magari mazuri
 
Kama kuna group la whatsap la hizi ishu za magari naomba niunganishwe kwa namba 0768231661.
 
Aisee wee uko vizuri kudeal na customers
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…