Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Ndio mkuu ipo hii kwa milioni 10 ,je budget yako inaruhusu?Mbona haujaleta mrejesho
Nauliza hivyo ili jamaa yangu aifuatilie na, aikague na kupiga picha kabisa, sasa atatumia gharama zake kwahyo angependa kufahamu maoni yako kabla hajaenda