Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nakuangalizia mkuu nitakupatia jibuToyota harrier old model rangi nyeusi yenye 2160cc na four cylinder unayo mkuu? Inagharimu kiasi gani mpaka kuitia mkononi?
Uhuni huo ndio tabu ya udalali nitaagiza japanDuh! tuhuma nzito hii mkuu bila shaka hatukuelewana vizuri.
Namba yako ninayo siku nyingi maana sio mara kwanza kunipigia tukaongea kuhusu Noah, unakumbuka ile ya Chamanzi nikakupa namba ya mmiliki au ile ya Magomeni nyeusi nikakupa namba ya dalali? zote hujazifanyia kazi mkuu pengine hukua na imani na mimi .
Niliwahi kufafanua humu namna ninavyofanya kazi kwamba gari hua nakabidhiwa na mmiliki au dalali au hata nyengine zinakuaga Showroom.
Utaratibu wangu ni kwamba nakuambia gari lipo maeneo fulani na nakupatia namba ya mhusika.
Mkuu mimi sio tapeli na wala sifanyi kazi na matapeli wanaonifahamu gumu na ambao nishawahi kufanya kazi nao kama wataona hii wanaweza kunisaidia kukufahamisha .
Narudia tena inawezekana tulipishana lugha lakini mkuu kwa jinsi tulivyowasiliana tangia mara ya kwanza unaonekana sio mstaarabu au sio muelewa, nisamehe sana mkuu kama nitakukwaza lakini hakuna ulazima wa kufanya biashara na mtu ambae huna imani nae.
Mkuu nimepata ya 2360 bei inaanzia 21M mazungumzo yapo,ni ya mwaka 2002Nakuangalizia mkuu nitakupatia jibu
Probox manual ipo, inagharimu 11.8MNdio mkuu nahitaji hii gari ikiwa manual itapendeza zaidi
Nendeni show room,acheni sifa za kipuuziSame to me, nilijua nitaona magari kumbe Kuna usafiri tu!
Toyota Liteace ya mwaka 1999Tupia na toyota liteace nijue bei
Nashukuru mkuu nime save no yako nitakutafuta nikiwa tayari....Toyota Liteace ya mwaka 1999
1500CC
Bei :16M pamoja na usajili
Karibu mkuu namba yangu ya simu ni 0689699704View attachment 665785
Mkuu Expected Value nimeona ujumbe wako naufanyia kaziMkuu Master of the game Volkswagen Jetta nitapata kwa bei gani yenye cc kati ya 1000-1500?
Ahsante.Mkuu Expected Value nimeona ujumbe wako naufanyia kazi