Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Rav4 old model
Mwaka :1998
Injini :1998CC, 3S engine
Bei :8.3M
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1514734507964.jpg
FB_IMG_1514734513956.jpg
FB_IMG_1514734517831.jpg
FB_IMG_1514734531406.jpg
FB_IMG_1514734536095.jpg
FB_IMG_1514734544825.jpg
FB_IMG_1514734553189.jpg
 
Duh! tuhuma nzito hii mkuu bila shaka hatukuelewana vizuri.
Namba yako ninayo siku nyingi maana sio mara kwanza kunipigia tukaongea kuhusu Noah, unakumbuka ile ya Chamanzi nikakupa namba ya mmiliki au ile ya Magomeni nyeusi nikakupa namba ya dalali? zote hujazifanyia kazi mkuu pengine hukua na imani na mimi .
Niliwahi kufafanua humu namna ninavyofanya kazi kwamba gari hua nakabidhiwa na mmiliki au dalali au hata nyengine zinakuaga Showroom.

Utaratibu wangu ni kwamba nakuambia gari lipo maeneo fulani na nakupatia namba ya mhusika.

Mkuu mimi sio tapeli na wala sifanyi kazi na matapeli wanaonifahamu gumu na ambao nishawahi kufanya kazi nao kama wataona hii wanaweza kunisaidia kukufahamisha .

Narudia tena inawezekana tulipishana lugha lakini mkuu kwa jinsi tulivyowasiliana tangia mara ya kwanza unaonekana sio mstaarabu au sio muelewa, nisamehe sana mkuu kama nitakukwaza lakini hakuna ulazima wa kufanya biashara na mtu ambae huna imani nae.
Uhuni huo ndio tabu ya udalali nitaagiza japan
 
Toyota Brevis
Model year :2004
Full options, Front and back camera ,sport rims
Mileage :72000km
2500CC
Bei :11.5
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1514790291729.jpg
FB_IMG_1514790309562.jpg
FB_IMG_1514790313293.jpg
FB_IMG_1514790318996.jpg
FB_IMG_1514790323536.jpg
FB_IMG_1514790329196.jpg
FB_IMG_1514790344117.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom