Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu bado sijafahamu kua inaingiliana na gari gani, bado najitahidi kuuliza nikipata jibu nitakujuza.
Hata hivyo spare sio jambo lakuhofia tena sababu zinapatikana kwa urahisi.
Hii Vios mkuu imeshauzwa
Ok mkuu,iko poa sana.
Leo January 3,2018,nimeona gari moja kwenye foleni zuri sana. Naliona kali kuliko Crown Athlete au Mark X. Gari inaitwa Aurion Prodigy,ni Toyota,gari kali sana.
Ilibidi nikagoogle,salaale, ni familia moja na Camry,lakini hilo liko too Executive tena kwa nchi za Europe.
 
Unalitaka mkuu? nipe kazi nilisake
 
Daa,Touran,bonge la gari. At 260kph,1600kg, ni gari stable. Huo uzito ni mkubwa kuliko hata RAV.Hii yote ni kwa ajili ya umadhubuti
Ni gari Nzuri sana, very stable barabarani na nafasi kubwa ndani.
 
Natafuta toyota i.s.t old model offer 6m iwe nzima kwa asimia angalau 85% no sio issue kwangu 0673038859 Tesha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…