Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Premio Old model
7A engine
Bei :5.3M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180103-WA0473.jpg
IMG-20180103-WA0479.jpg
IMG-20180103-WA0477.jpg
IMG-20180103-WA0492.jpg
IMG-20180103-WA0475.jpg
 
Dihatsu sparky
Mwaka :2002
Usajili DLL, imesajiliwa lakini bado haijatumika, ipo showroom.
Ipo na seat 7 na upande wa mafuta ulaji wake mzuri sana.
1.3CC
Milango inafunguka pande zote mbili
Bei :9.5M
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1515009421089.jpg
FB_IMG_1515009425854.jpg
FB_IMG_1515009429170.jpg
FB_IMG_1515009431968.jpg
FB_IMG_1515009435674.jpg
FB_IMG_1515009440493.jpg
 
Klugger inaweza kuwa bei gani, pia nifahamu bei, capacity (cc), model
 
Klugger inaweza kuwa bei gani, pia nifahamu bei, capacity (cc), model
Kluger ya Showroom ni kuanzia 22.5M na za mkononi nzuri ambazo hazijatumika sana kwenye 17M unapata.
Engine capacity ni 2400CC mpaka 3000CC, karibu mkuu utapendelea ya budget gani na ya cc ngap
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom