Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
SawaInayokula angalau km12 kwa lita bei idizidi ml 5
Karibu sana mkuuYanavutia kwa kweli!
1790CCHiyo premio old model ni CC ngapi?
Kluger ya Showroom ni kuanzia 22.5M na za mkononi nzuri ambazo hazijatumika sana kwenye 17M unapata.Klugger inaweza kuwa bei gani, pia nifahamu bei, capacity (cc), model
Km113000Dcs brevis hujaweka odometer reading
Naomba interiors ya hii ndinga