Mkuu chukua 8.3Mil hiiToyota Raum
Mwaka :2004
1490CC, Vvti
88000km
Bei :9.6M
Mawasiliano :0689699704View attachment 677114View attachment 677115View attachment 677116View attachment 677118View attachment 677119
Karibu mkuuUzi Safi sana huu
Ipo B ya 3s engine kwa 5.5MMkuu nina 5M naweza pata Nadia namba C au D?
Mkuu 8.3M haina maslahMkuu chukua 8.3Mil hii
Poa poa mkuu, Karina sanaManina huu Uzi one Dei Yes
Mkuu hiki nna mili. Mbili naomba pia kuona picha za ndaniNissan March
Bei :3M
Mawasiliano :0689699704View attachment 677334View attachment 677337View attachment 677340
Mkuu hakipungui milioni 3,picha za ndani hizi hapaMkuu hiki nna mili. Mbili naomba pia kuona picha za ndani
Maelezo zaidi, kimepitia mikono (ownership) mingapi ?Suzuki Carry
Bei :4.5M
Gari imetunzwa sana
Mawasiliano :0689699704View attachment 677431View attachment 677432
Mmiliki ni mmoja tu tangu iingie nchini, Mhindi ameitunza vizuri na haina shida yoyote.Maelezo zaidi, kimepitia mikono (ownership) mingapi ?
Kina miaka mingapi kwenye matumizi ?
Kina shida yeyote ? (engine ?)
Mkuu nrushie picha ya hyo premio kwenye whatsP yangu na location ya gariToyota Premio
New Model
Bei :7M
Mawasiliano :0689699704View attachment 677776View attachment 677777View attachment 677778
Sawa sawa mkuuMkuu nrushie picha ya hyo premio kwenye whatsP yangu na location ya gari
Ova