Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Mkuu nina 5M naweza pata Nadia namba C au D?
Ipo B ya 3s engine kwa 5.5M
IMG-20180116-WA0214.jpg
IMG-20180116-WA0215.jpg
IMG-20180116-WA0201.jpg
 
Maelezo zaidi, kimepitia mikono (ownership) mingapi ?
Kina miaka mingapi kwenye matumizi ?
Kina shida yeyote ? (engine ?)
Mmiliki ni mmoja tu tangu iingie nchini, Mhindi ameitunza vizuri na haina shida yoyote.
Inapatikana Oysterbay tuwasiliane uikague ili kujiridhisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom