Hiii gari kali sanaToyota Harrier ya mwaka 2007
4cylinder
Bei :39M
Mawasiliano :0689699704View attachment 663811View attachment 663812View attachment 663813View attachment 663814View attachment 663816View attachment 663817View attachment 663818View attachment 663819View attachment 663820View attachment 663821View attachment 663822
Picha ya engine hii hapaHii imetembea km ngapi mkuu na naomba picha ya engine
Asante mkuu. Kama mtu aliyekua anatafuta ataridhia ntakuchekiPicha ya engine hii hapa View attachment 687648
Sawa mkuuAsante mkuu. Kama mtu aliyekua anatafuta ataridhia ntakucheki
Hapana mkuu bado sijaanza vifaaSafi sana mkuu kwa uzi wako.
Vipi unauza na vifaa vya gari? Binafsi ninahitaji gear box ya rav4 old model, kama vipi nikugei details.
Mkuu PREMIO ilikosa kabisa? Nimeona kimya kabisa hata huiongelei tena.Hapana mkuu bado sijaanza vifaa
.mkuu mm bado nakutafutia Sema rangi yako unayotaka ni adimu kidogoMkuu PREMIO ilikosa kabisa? Nimeona kimya kabisa hata huiongelei tena.
Mkuu natafuta ila bado sijafanikiwa hiyo rangi kwa Premio ni adimu, siumeona hata mkuu Mrangi hapo anachakarikaMkuu PREMIO ilikosa kabisa? Nimeona kimya kabisa hata huiongelei tena.
Mkuu kwa hali jinsi ilivyo nimeamua kujiongeza,Safi sana mkuu kwa uzi wako.
Vipi unauza na vifaa vya gari? Binafsi ninahitaji gear box ya rav4 old model, kama vipi nikugei details.
Aisee pole sana mkuuHapo najua Rav4 gearbox inadunda sauti wakati wa kubadili gear , gari za kipuuzi mno ya kwangu nimeitupa uani.