Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Hii imetembea km ngapi mkuu na naomba picha ya engine
Picha ya engine hii hapa
IMG-20180130-WA0289.jpg
 
Safi sana mkuu kwa uzi wako.
Vipi unauza na vifaa vya gari? Binafsi ninahitaji gear box ya rav4 old model, kama vipi nikugei details.
 
Safi sana mkuu kwa uzi wako.
Vipi unauza na vifaa vya gari? Binafsi ninahitaji gear box ya rav4 old model, kama vipi nikugei details.
Mkuu kwa hali jinsi ilivyo nimeamua kujiongeza,
Nimepata gearbox naomba tuwasiliane tafadhali 0689699704
 
Hapo najua Rav4 gearbox inadunda sauti wakati wa kubadili gear , gari za kipuuzi mno ya kwangu nimeitupa uani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom