Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Toyota Wish
Bei :9.5M
Mawasiliano:0689699704
Bei :9.5M
Mawasiliano:0689699704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu weka picha zaidi. Na location ya gari.
Ipo Dar es salaam, kwa sasa sina picha zaidi, nitaziwekaMkuu weka picha zaidi. Na location ya gari.
Hakika Uzi huu udum milele sikutegemeaRange Rover Sport
2010 model
2740CC
Diesel fuel
Price :60M
Contact :0689699704View attachment 669497View attachment 669498View attachment 669499View attachment 669500View attachment 669501View attachment 669503View attachment 669504View attachment 669505View attachment 669506View attachment 669507View attachment 669508View attachment 669509
Ok mkuu,iko poa sana.
Leo January 3,2018,nimeona gari moja kwenye foleni zuri sana. Naliona kali kuliko Crown Athlete au Mark X. Gari inaitwa Aurion Prodigy,ni Toyota,gari kali sana.
Ilibidi nikagoogle,salaale, ni familia moja na Camry,lakini hilo liko too Executive tena kwa nchi za Europe.
AmiiinHakika Uzi huu udum milele sikutegemea
Hii gari iko vizuri na mimi nimeitamani
Karibu mkuuNgoja nitafute pesa nije kununua gari.