Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Runx nitadanganya mkuuHasa runx ,utatisha sana
Sina hizo mkuunazitafuta hiziView attachment 689246View attachment 689247
Nakuwekea hapa muda simrefuToyota Vanguards, nahitaji sana
Basi vits iwe ktk hali nzuri,shemeji yako nimpe zawadi ya Valentine dayRunx nitadanganya mkuu
Sawa mkuuBasi vits iwe ktk hali nzuri,shemeji yako nimpe zawadi ya Valentine day
Mkuu milion nne cash ipoToyota Passo (DL)
Mwaka :2006
1290CC
4cylinder
Bei:6.8M
Mawasiliano :0689699704View attachment 688718View attachment 688719View attachment 688720View attachment 688721View attachment 688722
Hailipi mkuuMkuu milion nne cash ipo
Mwenye nayo mwambie asibane sanaHailipi mkuu
Bei ni milioni 15,imetumiwa na mwanamkeToyota Vanguards, nahitaji sana
Nna vanguard kali sana rangi nyeusi model ya 2008,Inauzwa 27m namjua mmiliki ngoja ntakurushia whatsap ykoNakuwekea hapa muda simrefu
Nimeiona mkuu imetulia sana, kama mmiliki hatojali ukishare hapa na wanajf wenzetu basi itakua vizuri ukiiweka hapa wanaJf wajioneeNna vanguard kali sana rangi nyeusi model ya 2008,Inauzwa 27m namjua mmiliki ngoja ntakurushia whatsap yko
Ova
Ngoja ntamuliza mkuu ....gari naijua vzuri vanguard hii utafijiri Jana tu Imetoka japanNimeiona mkuu imetulia sana, kama mmiliki hatojali ukishare hapa na wanajf wenzetu basi itakua vizuri ukiiweka hapa wanaJf wajionee
Sawa mkuu, hata ndugu Kluger nadhani ataona hii convo, anaweza nifuata whatsapp nikamtumia achague kati ya hiyo namba A niliyomquote au hiiNgoja ntamuliza mkuu ....gari naijua vzuri vanguard hii utafijiri Jana tu Imetoka japan
Ova