Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Naomba kuulza wakuu hv Mark x iko bei gan hili gar nalielewa sana naksanya Visnt nikafnye yngu na msaada zaid ubora wake maana me sio mzoef kbsaa wa ndinga so msaada wenu tafadhal
 
Naomba kuulza wakuu hv Mark x iko bei gan hili gar nalielewa sana naksanya Visnt nikafnye yngu na msaada zaid ubora wake maana me sio mzoef kbsaa wa ndinga so msaada wenu tafadhal
Kwa uzoefu wangu kuanzia 8.5M insists mark X nzuri ambayo imetumika, bei itapanda kulingana na model year na muda gani gari imetumika tangu isajiliwe hapa nchini.
Usisahau kuna zile za showroom bei itakua juu zaidi.
Kikubwa tambua kwamba kuanzia 8.5M unapata mark X ambayo haitakusumbua.
Karibu sana mkuu
 
Toyota harrier new model
Mwaka :2003
2360CC
4 cylinder
Bei:13.5M
Mawasiliano :0689699704
FB_IMG_1523039948245.jpg
FB_IMG_1523039951291.jpg
FB_IMG_1523039959280.jpg
FB_IMG_1523039967364.jpg
FB_IMG_1523039969622.jpg
FB_IMG_1523039961533.jpg
 
HIYO T 234 BPL ni sawa Na CCC ngapi?
Au 6 cylinder ndo inayokula sana mafuta? Sijui mambo ya magari nieleweshe
 
HIYO T 234 BPL ni sawa Na CCC ngapi?
Au 6 cylinder ndo inayokula sana mafuta? Sijui mambo ya magari nieleweshe
Ungenitajia na jina la gari ingekua vizier zaidi ili niweze kuitambua ah niambie ni post namba ngapi nipate kukufahamisha cc zake.
6 cylinder inakula mafuta mengi ukilinganisha na 4 cylinder japo kiufanisi inaaminika 6 cylinder ipo imara zaidi
 
Mkuu emb nipe bei ya suzuki jimmy tena ikiwezekana ile ya cc 600 kuanzia namba c au ikiwezekana namba d
 
Mkuu kwa budget ya 5m naweza pata gari gani nzuri ambayo haitanisumbua sumbua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom