Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Sawa mkuu naisubiriMaster Nna Harrier old model namba A,4cylinder gari Iko vzuri Inauzwa 7.5,ntakurushia picha whatsap
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu naisubiriMaster Nna Harrier old model namba A,4cylinder gari Iko vzuri Inauzwa 7.5,ntakurushia picha whatsap
Ova
Imekaa vizuri...!Toyota Harrier
Old model
4 cylinder
3s engine
Bei:7.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 741030View attachment 741031View attachment 741032View attachment 741033
Unacho sema ni kweli lengo ni zuri lakin hakuna physical connection kuna siku nilitafuta gari kuanzia asubuh mpaka usiku sikupata ilo gari naishia kuongea na jamaa kwa njia ya simu tu.Mbaya zaidi kuna sehemu unafika gari lenyewe halipo kali zaidi unamkuta mwenye gari anakwambia hauziNashukuru sana jinsi unavyojitahidi kutuunganisha kati ya muuzaji na mnunuzi humu
Jambo moja ningependa kukushauri ni usimamizi wa biashara pale unapounganisha mteja na mwenye Mali
Mimi kupitia kwako nimenunua Vitz uliniunganisha na muuzaji kumbe nae Ile gari alinunua na hakuwahi kufanya transfer,sasa nataka kufanya transfer nimekwama kwani kinatakiwa kitambulisho cha mmiliki anayeonekana kwenye kadi kwa kweli imekuwa mtihani
Nimeamua kuandika hapa ili iwe angalizo kwa wengine na ushauri kwako uwe unasimamia show mwanzo mwisho
Samahani sana mkuu, jamaa alienieleza hilo kwamba wao walinunua hiyo gari kwa huyo ambae jina lipo kwenye kadi na hawakuwahi kubadilisha.Nashukuru sana jinsi unavyojitahidi kutuunganisha kati ya muuzaji na mnunuzi humu
Jambo moja ningependa kukushauri ni usimamizi wa biashara pale unapounganisha mteja na mwenye Mali
Mimi kupitia kwako nimenunua Vitz uliniunganisha na muuzaji kumbe nae Ile gari alinunua na hakuwahi kufanya transfer,sasa nataka kufanya transfer nimekwama kwani kinatakiwa kitambulisho cha mmiliki anayeonekana kwenye kadi kwa kweli imekuwa mtihani
Nimeamua kuandika hapa ili iwe angalizo kwa wengine na ushauri kwako uwe unasimamia show mwanzo mwisho
Hili nzuriToyota Chaser Balloon
1888CC
6 cylinder
Full a/c
Bei:2.7M
Mawasiliano :0689699704View attachment 733979View attachment 733980View attachment 733981
Hii mkinipa kwa tano naichukua leoVitz new model
4 piston
Bei:7.5M
Mawasiliano :0689699704View attachment 740757View attachment 740759View attachment 740760