Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Lexus gs 350
Bei :32M
Mawasiliano :0689699704
IMG-20180425-WA0036.jpg
IMG-20180425-WA0037.jpg
 
Wakuu samahanini picha ni chache sababu nina mrundikano wa gari nyingi ambazo sijapost siku mbili hizi

Nataka tu mtu afahamu kua gari flani ipo ikimpendeza anaweza omba picha

Nawaomba mnisamehe wakuu naona italeta usumbufu kwenu sababu hamjazoea

Pia kama uongozi wa Jf utapita hapa nawaomba mkiboresha app yetu basi mtuwekee option yakupost picha zaidi ya moja kwa mkupuo... Kwamba kuwe na option yakumark picha nakupost kwa pamoja
 
Mkuu hiyo 30M haipungui?Pia Kama namba D na C ni Tsh ngapi?
Na Je Hizi gari ambazo sio za Showroom zina Uimara Kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom