Kuna ukweli kwamba baadhi ya wapenzi wa jukwaa la MMU hawaguzi kabisa kule kwenye siasa. Hivyo nimeona si vibaya (ingawa si mahali pake) kuwaletea hii kitu hapa kama kuna watu hawajaiona.
Jamani tusiache kutoa mawazo yetu kuhusu katiba tunayohitaji kwa mustakabali wa nchi yetu. Ni ukweli uliowazi kuwa JF ina nondoz za ukweli, hivyo tuzitumie kwa manufaa ya taifa letu!
Jisajiri kwenye website hiyo kisha endelea kwa wakati wako Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Wanachama wa facebook nao mmepelekewa huko huko muendelee kujiachia
https://www.facebook.com/pages/Tume-...23414977745643