Wapenzi wa MMU tukumbuke na hili.......

Wapenzi wa MMU tukumbuke na hili.......

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,682
Reaction score
10,801
Kuna ukweli kwamba baadhi ya wapenzi wa jukwaa la MMU hawaguzi kabisa kule kwenye siasa. Hivyo nimeona si vibaya (ingawa si mahali pake) kuwaletea hii kitu hapa kama kuna watu hawajaiona.

Jamani tusiache kutoa mawazo yetu kuhusu katiba tunayohitaji kwa mustakabali wa nchi yetu. Ni ukweli uliowazi kuwa JF ina nondoz za ukweli, hivyo tuzitumie kwa manufaa ya taifa letu!

Jisajiri kwenye website hiyo kisha endelea kwa wakati wako Tume ya Mabadiliko ya Katiba

Wanachama wa facebook nao mmepelekewa huko huko muendelee kujiachia https://www.facebook.com/pages/Tume-...23414977745643
 
Sijui lakini binafsi naenda sana huko!Ila uwe na moyo!
 
Huko kuna ma-specialist wa siasa, sisi huku tunatibu ndoa na mahusiano maana mahusiano ya siku hizi na ndoa za siku hizi zinamalumbano sana kuliko hata hizo siasa! Na mara nyingine ndo husababisha haya matatizo ya kisiasa! Hapa ni kama tunaondoa mzizi wa tatizo ...

Akina Mzee Mwanakijiji na wengineo watatuwakilisha kwenye siasa!
 
Umefanya vizuri kutukumbusha. Unajua
Mapenzi ni upofu yametufanya tusione vingine.
Mahusiano ni majanga ya kitaifa vilio kila kukicha.
Urafiki ndo usiseme unatukeep bize kuliko maelezo, tukipata rafiki ana kasoro basi tuko bizee kutafuta mwenye sifa
 
Mmmh kama alivyosema HorsePower huku kuna ma-specialists wa ndoa na mahusiano, maana ulivyoidadavua hii MMU hata sina la kusema...big up!
 
Back
Top Bottom