WAPENZI WA MOVIE ZA NOLLYWOOD KARIBU HAPA.

WAPENZI WA MOVIE ZA NOLLYWOOD KARIBU HAPA.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Binafsi ni mpenzi wa hizo muvi.
Takriban miaka saba mfululizo naangalia hizi muvi, awali nlikuwa nanunua Cd, BT kw sasa kutokana na Mitandao kuimarika kiasi fulan Naingia YouTube na kujichagulia.
Faida nilizozipata ni kama ifuatavyo:-
1. Zimenisaidia kujua kiingereza cha kuongea
2. Nimeongeza kujiamini ktk maisha kwan Kuna Elimu na
hekima nyingi najifunza
3. Kukua kiimani ya kidini, na Sasa nafurahia zaid maisha
kwan aman Na furaha imeongezeka
4. Kuburudika sana, nk.
Kiukweli hawa jamaa wanajitahid sana kubalance story
Na wahusika wanatendea sana haki nafasi zao.
Hadi sasa nahic nimeangalia Takriban jumla ya muvi 3000+
Kali ninazozikumbuka ni kama
1. Cotonou hustlers
2. My peace of mind
3. Our heritage
4. City hustlers
5. Osinachi my wife
6. Submission
7. Sugarcane girl
8. Whipping flowers
9. Royal top secret
10. Dead without money.nk
Binafsi napenda sana vitu vya nyumbani hasa Afrika kwa ujumla Ingawa Bongo muvi tumeshindwana.
NAOMBA tutaje muvi kali zinazopatikana YouTube ili kuendelea kunufaika
KARIBUNI SANA.
 
Movie zimekusaidia kujua kizungu acha uongo bibi yangu
 
Movie zimekusaidia kujua kizungu acha uongo bibi yangu
We ndo hujui..yeye si mwongo . Ni kweli hata mm nathibitisha hilo
Unaeza ukawa unaelewa kiingereza lkn huna confidence kuongea na ile flow huezi... muvi kqma ukiwa makini inakusaidia.
Pia kwenye swala la grammatical error
 
Mi mwenyewe napenda muvi jamani hapa nmetoka kuangalia strike back ni series
 
Ukitaka kuijua lugha isikilize na uiongee..wehujiulizi ni kwann zaman wakat unajifunza kiingereza ulikua unaambiwa ujenge mazoea ya kusoma novel
 
Movie zimekusaidia kujua kizungu acha uongo bibi yangu
Ndio Zimenisaidia sana.
Awali Nilikuw siwezi kbs hat kujrb kuongea,
Ingawa nimesoma hadi elimu ya juu.
Yaan ulimi mzito balaa, lakn sasa nimefunguka htr.
 
Ndio Zimenisaidia sana.
Awali Nilikuw siwezi kbs hat kujrb kuongea,
Ingawa nimesoma hadi elimu ya juu.
Yaan ulimi mzito balaa, lakn sasa nimefunguka htr.
Umesoma kiujanja janja
 
Back
Top Bottom