Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.
Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?
Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.
Mwaka 2025 utatutibu maumivu:
Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar
Thunderbolt
Jurassic Park
Superman
Captain America
The Fantasic Four
How to Train Your Dragon
Snow White
Michael
Constantine 2
Zootopia 2
The SpongeBob movie
The Minecraft Movie
Oya list ndefu sanaaa
Sio kaliView attachment 3187653Hapo vp? Hii pia utasema sio kali?
Hizo movies majina makubwa tu ila hamna kitu. A Quiet Place kumuona Lupita nikategemea maajabu ila dah.Hapana mzee, hapana.
Kwenye single kulikuwa na Rebel Ridge.
Kwenye series kulikuwa na Shogun.
Na nyingine nyingi kama A Quiet Place: Day One, Oddity, Alien: Romulus😂, ni shazi!
Ni nzuri acha ubishi.Hizo movies majina makubwa tu ila hamna kitu. A Quiet Place kumuona Lupita nikategemea maajabu ila dah.
Kiasi tu..sio sanaView attachment 3187653Hapo vp? Hii pia utasema sio kali?
Mmhhh kali bhanaSio kali
Me nimeona ipo hotKiasi tu..sio sana
Kawaida sana..Mmhhh kali bhana
Umeongea kweli. Marvel DC wakitoa movie wataisifia yaani hype yake sio ndogo.Halafu sasa nikushauri kitu;
Zile movie fantastical za mauongo mengi zenye budget kubwa kama avatar ndo zinatangazwa sana, usizipuuzie ila,
Tafuta movie ndogo ndogo zinazosifiwa mitandaoni na kwenye rating sites, zipo nyingi sana