Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

Gka
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.

Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?

Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.

Mwaka 2025 utatutibu maumivu:

Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar
Thunderbolt
Jurassic Park
Superman
Captain America
The Fantasic Four
How to Train Your Dragon
Snow White
Michael
Constantine 2
Zootopia 2
The SpongeBob movie
The Minecraft Movie

Oya list ndefu sanaa
gladiator II ni kali sana
 
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali
Hii mbona ilikuwa nzuri! Ilinifanya nifahamu kuwa ndani ya CIA kuna CIA!

The Beekeeper​

download.jpg
 
Back
Top Bottom