Hiyo Rebel Ridge nilijuta kuharibu MB zangu kuidownload.. OVYO kabisaHapana mzee, hapana.
Kwenye single kulikuwa na Rebel Ridge.
Kwenye series kulikuwa na Shogun.
Na nyingine nyingi kama A Quiet Place: Day One, Oddity, Alien: Romulus[emoji23], ni shazi!
FLow ya story ni fantastic,TV show. Nimeimaliza last week sio mbaya sana ila actiona chache.
gladiator II ni kali sanaLabda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.
Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?
Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.
Mwaka 2025 utatutibu maumivu:
Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar
Thunderbolt
Jurassic Park
Superman
Captain America
The Fantasic Four
How to Train Your Dragon
Snow White
Michael
Constantine 2
Zootopia 2
The SpongeBob movie
The Minecraft Movie
Oya list ndefu sanaa
Hii auKuna movie niliangalia nikiwa mdogo ya kikorea inahusu kamari na uadui
Starring anaitwa Kimgoni.
Anayeipata naomba anitajie jina.
Chaliifrancisco Vincenzo Jr
Sio😔
Duh jina lake hapo kulipata mtihani sanaSio😔
TazzaKuna movie niliangalia nikiwa mdogo ya kikorea inahusu kamari na uadui
Starring anaitwa Kimgoni.
Anayeipata naomba anitajie jina.
Chaliifrancisco Vincenzo Jr
Ndio maana mimi napenda ancient oriented moviesMatukio yamepungua na tech imekua
SioooTazza
Nimejaribu kutafuta hilo jina ndio limekujaSiooo
SawaNimejaribu kutafuta hilo jina ndio limekuja
Uliangalia mwaka ganiSawa
2012-2014 sikumbuki mwaka exactlyUliangalia mwaka gani