okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Hiyo namba tano nilimuonea huruma Doni. kama kweli vile hah hah hah.
Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
