Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Hiyo namba tano nilimuonea huruma Doni. kama kweli vile hah hah hah.

Scot Adkins kwa mara ya kwanza nilikuona ktk special force iliyochezwa Russia acha ile ya wafaransa ya yule black.
 
Huyo Mark Wahlberg huwa ana vituko sana na bublish zake mdomoni
 
mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe

ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Anaitwa Michael Jai White
 
Uweis ni mzuri lakini hajafikia rekodi za;
Don Yen
Jet lee
Ton Jaa
Reeves
Ila akipata casting nyingi anaweza kuwafikia kumbuka ubora unatengenezwa atakuwa anaimprove day by day.
Pia tukumbuke Hollwood ndo wanatuchagulia nani awe bora kutokana na casting na thamani ya actor.
 
mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe

ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Blood and bone? Jamaa moja kavimba hivi?
 
Hii umeicheki..?
The Tournament
Yes humo kuna first black spider man aisee acha hizo action za humo si za nchii hiii...
Pastor anaambiwa mbona haji defend hajui kuwa yupo ktk tournament....niliiona muda kidogo 2010 kama sikosei
 
Inaitwa redemption...

Blood and bone unaijua?
Nimeiona zamani mnooo hiyo muvii..
Kwenye hii muvi Michael alifanyiwa kitu kibaya na Joker..
Joker alimwambia..
Why so serious? Let me put smile to your face..
akamchana mdomo..
The Dark Knight
 
Bado sana cox ukiangalia hao malegend wamepitia long way mpaka kufikia hapo,jamaaa yuk vzur but hyo level ajafikia
 
Yes humo kuna first black spider man aisee acha hizo action za humo si za nchii hiii...
Bahat mbaya hii muvi haikufanikiwa kimauzo. Ila action zake ziko bombs aisee mkono Wa kufa MTU..
WWE nao waliiga wakatengeneza muvi ya The Condemned story kama hiii sema walichezea msituni.. Staring STEVE AUSTIN
 
Ila Donie na Jet no moto Mzee hats mm napiga salute..
 
Bahat mbaya hii muvi haikufanikiwa kimauzo. Ila action zake ziko bombs aisee mkono Wa kufa MTU..
WWE nao waliiga wakatengeneza muvi ya The Condemned story kama hiii sema walichezea msituni.. Staring STEVE AUSTIN
Wwe movie nzuri naona ni ile ya ted debias Raid kama sikosei alicheza kama sniper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…