Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

Wapenzi wa Muziki wa Country tukutane hapa

Naombeni kwa anaefahamu cjajua ni yupi alieimba wimbo huu chorus inasema
"No matter wht the world may say abt me (abt me)
I know ur love will alwayz see me thru (see me thru)
I love u for the hundreds thousands reasons.
But most of all I love u bse ur u"
Nashukuru kwa atakaenambia jina la wimbo na artist
 
Wakuu nawasalimu habari za hapa jamvini
Karibuni sana katika mjadala huu ambao umelenga hasa kusaidiana kujua zaidi ya huu mziki wa country ambao ni mziki unaokongo moyo na kukufanya kama unashida usahau kwa mda..
kwangu mm nilipenda kujua zaidi wakali wa hiz nyimbo...kwa sasa top ten zangu ni
1. Don william
2.Kenny roggers
3.Dolly parton
4.Alan Jackson
5.John cash
6.george strait
7. Tim mcGraw
8.Taylor swift
9.John Denver
10.george florida

Kwangu mimi hakuna kama Kenny na anafuata Don then Dolly. Asee ni shida, nina albam zao huwa sizichoki.
 
Naombeni kwa anaefahamu cjajua ni yupi alieimba wimbo huu chorus inasema
"No matter wht the world may say abt me (abt me)
I know ur love will alwayz see me thru (see me thru)
I love u for the hundreds thousands reasons.
But most of all I love u bse ur u"
Nashukuru kwa atakaenambia jina la wimbo na artist

I love u by jim reeves.
Kama sijakosea
 
Kwa hiyo ni wewe yu ndio unajua kuwa hayo ni ya waimbaji?

Umekimbilia kuandika ukizani?

Kwa hiyo haujui maana ya ...nyimbo hizi....

Au kaongelea nyimbo gani kwenye uzi huu? Nimeandika sababu sina muda wa kuongelea lolote zaidi.

Basi ukajiona mshindiiiii

Hahahahahaa nimesoma hapa nikakumbuka na kitu kuhusu jana nikacheka sana.
 
Napendelea zaidi country duo singers na mbabe wa wote Jimmie Rodgers (father of country music)
 
Wakuu nawasalimu habari za hapa jamvini
Karibuni sana katika mjadala huu ambao umelenga hasa kusaidiana kujua zaidi ya huu mziki wa country ambao ni mziki unaokongo moyo na kukufanya kama unashida usahau kwa mda..
kwangu mm nilipenda kujua zaidi wakali wa hiz nyimbo...kwa sasa top ten zangu ni
1. Don william
2.Kenny roggers
3.Dolly parton
4.Alan Jackson
5.John cash
6.george strait
7. Tim mcGraw
8.Taylor swift
9.John Denver
10.george florida
Hallow .........I'm Johhny Cash......
Mkuu tafuta kitu kinaitwa ''A thing called love.''
 
Wakuu nawasalimu habari za hapa jamvini
Karibuni sana katika mjadala huu ambao umelenga hasa kusaidiana kujua zaidi ya huu mziki wa country ambao ni mziki unaokongo moyo na kukufanya kama unashida usahau kwa mda..
kwangu mm nilipenda kujua zaidi wakali wa hiz nyimbo...kwa sasa top ten zangu ni
1. Don william
2.Kenny roggers
3.Dolly parton
4.Alan Jackson
5.John cash
6.george strait
7. Tim mcGraw
8.Taylor swift
9.John Denver
10.george florida
"A Thing Called Love"

Six foot six he stood on the ground
He weighed two hundred and thirty-five pounds
But I saw that giant of a man brought down
To his knees by love

He was the kind of man that would gamble on luck
Look you in the eye and never back up
But I saw him crying like a little whipped pup
Because of love

You can't see it with your eyes, hold it in your hands
But like the wind it covers our land
Strong enough to rule the heart of any man
This thing called love
It can lift you up never let you down
Take your world and turn it around
Ever since time nothing's ever been found
That's stronger than love

Most men are like me, they struggle and doubt
They trouble their minds day in and day out
Too busy with livin' to worry about
A little word like love

But when I see a mother's tenderness
As she holds her young close to her breast
Then I thank god that the world's been blessed
With a thing called love

Super...no question about that.
Like it too.
 
Wakuu nawasalimu habari za hapa jamvini
Karibuni sana katika mjadala huu ambao umelenga hasa kusaidiana kujua zaidi ya huu mziki wa country ambao ni mziki unaokongo moyo na kukufanya kama unashida usahau kwa mda..
kwangu mm nilipenda kujua zaidi wakali wa hiz nyimbo...kwa sasa top ten zangu ni
1. Don william
2.Kenny roggers
3.Dolly parton
4.Alan Jackson
5.John cash
6.george strait
7. Tim mcGraw
8.Taylor swift
9.John Denver
10.george florida

Mi naipenda sana Country Music but sijajua kwa nini napenda sana country iliyoimbwa na wanawake. Kuna Dolly Parton ana nyimbo zake hatari sana halafu kuna Skeeter Davis naye ni noma sana.

Ukiachia hapo kuna Don Wiliams, Kenny Rogers, Alan Jackson na kundi la Diamond Rio.

Ila kwa wimbo mmoja mmoja kuna wimbo unaitwa Coward of the Country umeimbwa na Kenny Rogers ni noma sana. Then ukija kwa Dolly nyimbo zake nyingi nazipenda mfano Carrol, happy valley PTA, Pain of loving you, Coat of many colours, silver and gold, silver sandals, duuuuh.....!! Nyingi kweli kweli. Nitarudi
 
Wote naona mnaongelea wanamuziki wa country weupe tu..... Originally country music ilibuniwa na watu weusi watumwa kama music wa kuwafuta majonzi baada ya kazi za kitumwa.... Gwiji mmoja mweusi wa country ni Darius Rucker.... Pata burudani kidogo hapa.... https://youtu.be/y5zCaRaJ-kE
 
Kwa hiyo ni wewe yu ndio unajua kuwa hayo ni ya waimbaji?

Umekimbilia kuandika ukizani?

Kwa hiyo haujui maana ya ...nyimbo hizi....

Au kaongelea nyimbo gani kwenye uzi huu? Nimeandika sababu sina muda wa kuongelea lolote zaidi.

Basi ukajiona mshindiiiii

Ahahahah, mi na wewe tena, mbona huwa ni zaidi ya peace and love. Si etii kipenzi.?
Lakini yote kumi hizi ndio nyimbo za burudani tuluvi. We yupi unamkubali sana hapo?
 
Nyimbo za jumapili asubuhi. ukisikiliza hizo jumapili yako huanza poa sana. Tulivu mno
 
I'm so afraid of loving you again~charley pride
Let go of the stone~john anderson
Ghost in this house~alice
Lucille~kenny rogers
The world you left behind~jim reeves
Amanda~don williams
Silver and gold~dolly parton
Pain of loving you~dolly parton duet porter wagoner
Seven spanish angels,if you get there before i do,your cheatin'n heart

Mitarud tenah ngoja nishushie maji kwanza😀😀
 
Back
Top Bottom