Habari zenu wakubwa zangu na wadogo zangu ? Mimi bana ni mpenzi wa dabriusibi ..bana pale mziki akuna tena anaye baki anaimba vitu vya kueleweka na ndo new king wa bongo f ni Harmonize konde boy kidogo na Mbosso na lavalava kwa kweli kwa sasa mziki bongo hakuna ..hongera zake Harmonize.