WAPENZI WA NYIMBO ZA ANJILI NJOONI HAPA

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
Kuna utunzi wa nyimbo za injili hakika unakonga nyoyo kuanzia mpangilio wa sauti Hadi upigaji wa ala za muziki
Top five ya kwanza zinazo fanya vizuri katika maisha yangu ni hizi hapa
1; AIC Chang'ombe
2; Kwaya ya Mama jus
3;Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama
4;Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi
5;Kwaya ya Mtakatifu Don Bosco
Ongezeni na nyingne
 
Unazungumzia kwaya za muziki wa nota au za kina nabii na mtume?!
 
Wapi wazee wa kupiga simu mbinguni?

Agape Gospel Band hao ndio funga kazi changanya na vibe lao la kutumia filimbi.
 
Kwaya ya Mt. Cecilia - (Kanisa kuu Arusha)
 
Kwaya ya m
takatifu Cecilia mirerani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…