Wapenzi wa Palestina, rafiki yenu ni Democrats sio Republicans

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
 
Uzuri wa Republicans ni watu walionyooka, wakishika nchi Palestine hana chake
Dunia imebadilika bila kubadili fikra na mitazamo ya kuendelea kuishi na kuamini katika ukale wako na misimamo yako hilo ndilo litakuwa kaburi lako.

Hata wakomunisti wa leo hawa wakina China Xi Jinping na wakina Vietnam wa sasa si sawa na wakomunisti wa kale wakina Mao,Kim, Lenin, Ho chi minh wa sasa wamebadilika wa fikra za usasa na ndio maana hata mataifa yao hayapo katika hali ya nyuma amebaki North Korea na fikra zake kali za kipindi cha misuguano ya vita baridi natumahi hata hali yake waiona si sawa na wenzake.

Hivyo nao wasipo badili siasa zao na misimamo yao hakika hawawezi fua dafu katika mabadiliko ya dunia ya leo.

je, ni lini huko nyuma umeshuhudia maandamano ya kutisha katika mataifa ya magharibi kwa kuunga mkono Palestine kushinda sasa ?
 
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu lei analihutubia bunge la pamoja la Marekani(House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
Siasa kuelekea uchaguzi....hakuna chama cha kuitosa Israel hadharani wala kwa kificho
 
Ni kwamba.....

1. Israel ni Marekani na Marekani ni Israel

2. Wale wote wanaoichukia Israel huku wakiwaunga mkono Hamas wanaofadhiliwa na Iran, Yemen na Lebanon ni WAPUMBAVU

3. Tokea miaka 4000 iliyopita hiyo ni Ardhi ya Israel na itaendelea kuwa Ardhi ya Israel daima na milele.

4. Ukiichokoza tu Israel tegemea Maafa makubwa na tutakupata popote pale utakapojificha

5. Vita yetu na Hamas haijaisha na itaisha pale tu ambapo Watasalimu amri na pia Kuwaambia hao Wanaowatuma ( hasa Iran ) nao Wasalimu amri

6. Israel inapambana na hawa Magaidi na Wauwaji wa Watu kwa Maslahi mapana ya si tu Israel bali hata Marekani na dunia nzima kwani tunajua kuwa Iran ndiyo mchochezi Mkuu wa Vitendo vyote vya Kigaidi duniani na kwamba hata ule Ulipuwaji wa Mabomu katika Balozi za Marekani kule Barani Afrika Iran ndiyo Ilifadhili wale Magaidi kwakuwa tokea mwaka 1979 Iran ina Chuki Kubwa na Kisasi na Taifa la Marekani na Washirika wake hasa Sisi Israel ambao ni Washirika Wakuu wake kwa eneo la Mashariki ya Kati

7. Nawashukuru Marais Biden na hata aliyekuwa Rais Trump kwa kuendelea Kushirikiana nasi Israel na kutusaidia na Silaha zingine za Kupambana na hawa Magaidi na Wapumbavu, pia nawashukuru Wamarekani wote kwa Kutuamini mno Sisi Waisrael na kwamba tunaomba Marekani iendelee kutupa Silaha zaidi upesi sana ili tumalize kabisa Shughuli huko Mashariki ya Kati ili kutulie na dunia nayo itulie. Wale wanatuona Israel tunaharibu iko Siku na haiko mbali watakuja Kugundua na Kuamini kuwa Israel ulikuwa haipigani kwa ajili ya Maslahi ya Israel bali ni kwa ajili ya Maslahi mapana ya Marekani na Dunia nzima

GENTAMYCINE sijawahi kupenda Vibovu Vibovu na mpaka unaona Avatar yangu hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013 ni ya huyu huyu Mwamba na Mwanamume wa Shoka Benjamin BIBI Netanyahu ( Waziri Mkuu wa sasa wa Israeli ) jua nina uhakika nae, namkubali sana halafu ana Characters ambazo tunafanana kama za 1. Akili Kubwa, 2. Mthubutu, 3. Asiyeogopa, 4. Anajiamini, 5. Mbabe, 6. Msomi mzuri na 7. Muona mbali Kimtizamo na Kimaamuzi.

Asante sana Benjamin BIBI Netanyahu hakika Speech yako ya Jana ya dakika 45 tu na Iliyonyooka ikiwa na Details nyingi za Kijasusi na Kijeshi imethibitisha kuwa Wewe ni Kiongozi Jemedari hasa ambaye si tu Israeli inakuhitaji bali hata Marekani na Sisi Waafrika pia tunakuhitaji.

Tafadhali endelea Kuninyooshea hao Wapumbavu mpaka wajue kuwa Israeli hana Mpinzani hapa Duniani na pia hata Mwenyezi Mungu hakukosea Kuliita ni TAIFA LAKE TEULE.

Imeisha hiyo..........!!!
 
Al Aqsa floods my foot!!

Watu wasiothamini uhai wao hawastahili kuendelea kuwepo duniani.
 
Dunia imebadilika bila kubadili fikra na mitazamo ya kuendelea kuishi na kuamini katika ukale wako na misimamo yako hilo ndilo litakuwa kaburi lako.

Hata wakomunisti wa leo hawa wakina China Xi Jinping na wakina Vietnam wa sasa si sawa na wakomunisti wa kale wakina Mao,Kim, Lenin, Ho chi minh wa sasa wamebadilika wa fikra za usasa na ndio maana hata mataifa yao hayapo katika hali ya nyuma amebaki North Korea na fikra zake kali za kipindi cha misuguano ya vita baridi natumahi hata hali yake waiona si sawa na wenzake.

Hivyo nao wasipo badili siasa zao na misimamo yao hakika hawezi fua dafu katika mabadiliko ya dunia ya leo.

je, ni lini huko nyuma umeshuhudia maandamano ya kutisha katika mataifa ya magharibi kwa kuunga mkono Palestine kushinda sasa ?
kumbuka jambo moja pia ,hakuna wakati ulaya na marekani imekuwa na Raia wengi kutoka Africa na mashariki ya kati kama sasa.
 
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
Mbona Biden ambaye ni 'Democrat' anaendelea kuipa Silaha Israel iendeleze vita huko Gaza wakati ana uwezo wa kuzuia hilo angetaka?...

Vyama vyote hivyo ni Pro-Israel kupindukia.
 
Sera za narekani ama wazungu kuelekea israhell zote hua ni moja ama zenye kufanana
 
Halafu wanadhani wenye nchi wamebadilika, kumbe ni wao wamehamia kwa watu
weneyeji wengi wanao onekana kwenye maandamanao ya hamas ni manipulated,wanaofuta chochote kile kinachotrend na Clout chasers.
hawa clout chasers ndiyo wengi.
Kuna yule bidada(mzungu) alikuwa ni mwanaharakati wa mazingira ila baada ya vita ya israel na Hamas kuanza ameacha kabisa harakati za mazingira badala yake amekuwa mwanaharakati wa Hamas na hata ambao tulikuwa hatumjui,sasa tumemjua.
 
Mbona Biden ambaye ni 'Democrat' anaendelea kuipa Silaha Israel iendeleze vita huko Gaza wakati ana uwezo wa kuzuia hilo angetaka?...

Vyama vyote hivyo ni Pro-Israel kupindukia.
Viongozi wa Democrats ndio pro-Israel kwa sababu ya kujipatia kura kwa raia wasio Democrats lakini ambao ni pro-Israel , upande wa Republicans wote Viongozi na majority ya wanachama wake ni pro-Israel
 
weneyeji wengi wanao onekana kwenye maandamanao ya hamas ni manipulated,wanaofuta chochote kile kinachotrend na Clout chasers.
hawa clout chasers ndiyo wengi.
Kuna yule bidada(mzungu) alikuwa ni mwanaharakati wa mazingira ila baada ya vita ya israel na Hamas kuanza ameacha kabisa harakati za mazingira badala yake amekuwa mwanaharakati wa Hamas na hata ambao tulikuwa hatumjui,sasa tumemjua.
Vijana wengi wa Democrats ni anti-zionism, ndio hao walikuwa wakiandamana kwa wingi na kusababisha vurumai vyuoni.
 
Ni kwamba.....

1. Israel ni Marekani na Marekani ni Israel

2. Wale wote wanaoichukia Israel huku wakiwaunga mkono Hamas wanaofadhiliwa na Iran, Yemen na Lebanon ni WAPUMBAVU

3. Tokea miaka 4000 iliyopita hiyo ni Ardhi ya Israel na itaendelea kuwa Ardhi ya Israel daima na milele.

4. Ukiichokoza tu Israel tegemea Maafa makubwa na tutakupata popote pale utakapojificha

5. Vita yetu na Hamas haijaisha na itaisha pale tu ambapo Watasalimu amri na pia Kuwaambia hao Wanaowatuma ( hasa Iran ) nao Wasalimu amri

6. Israel inapambana na hawa Magaidi na Wauwaji wa Watu kwa Maslahi mapana ya si tu Israel bali hata Marekani na dunia nzima kwani tunajua kuwa Iran ndiyo mchochezi Mkuu wa Vitendo vyote vya Kigaidi duniani na kwamba hata ule Ulipuwaji wa Mabomu katika Balozi za Marekani kule Barani Afrika Iran ndiyo Ilifadhili wale Magaidi kwakuwa tokea mwaka 1979 Iran ina Chuki Kubwa na Kisasi na Taifa la Marekani na Washirika wake hasa Sisi Israel ambao ni Washirika Wakuu wake kwa eneo la Mashariki ya Kati

7. Nawashukuru Marais Biden na hata aliyekuwa Rais Trump kwa kuendelea Kushirikiana nasi Israel na kutusaidia na Silaha zingine za Kupambana na hawa Magaidi na Wapumbavu, pia nawashukuru Wamarekani wote kwa Kutuamini mno Sisi Waisrael na kwamba tunaomba Marekani iendelee kutupa Silaha zaidi upesi sana ili tumalize kabisa Shughuli huko Mashariki ya Kati ili kutulie na dunia nayo itulie. Wale wanatuona Israel tunaharibu iko Siku na haiko mbali watakuja Kugundua na Kuamini kuwa Israel ulikuwa haipigani kwa ajili ya Maslahi ya Israel bali ni kwa ajili ya Maslahi mapana ya Marekani na Dunia nzima

GENTAMYCINE sijawahi kupenda Vibovu Vibovu na mpaka unaona Avatar yangu hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013 ni ya huyu huyu Mwamba na Mwanamume wa Shoka Benjamin BIBI Netanyahu ( Waziri Mkuu wa sasa wa Israeli ) jua nina uhakika nae, namkubali sana halafu ana Characters ambazo tunafanana kama za 1. Akili Kubwa, 2. Mthubutu, 3. Asiyeogopa, 4. Anajiamini, 5. Mbabe, 6. Msomi mzuri na 7. Muona mbali Kimtizamo na Kimaamuzi.

Asante sana Benjamin BIBI Netanyahu hakika Speech yako ya Jana ya dakika 45 tu na Iliyonyooka ikiwa na Details nyingi za Kijasusi na Kijeshi imethibitisha kuwa Wewe ni Kiongozi Jemedari hasa ambaye si tu Israeli inakuhitaji bali hata Marekani na Sisi Waafrika pia tunakuhitaji.

Tafadhali endelea Kuninyooshea hao Wapumbavu mpaka wajue kuwa Israeli hana Mpinzani hapa Duniani na pia hata Mwenyezi Mungu hakukosea Kuliita ni TAIFA LAKE TEULE.

Imeisha hiyo..........!!!
Jifute makamasi kwenye matakou kwanza
 
kumbuka jambo moja pia ,hakuna wakati ulaya na marekani imekuwa na Raia wengi kutoka Africa na mashariki ya kati kama sasa.
Ni kweli lakini maandamano ya sasa kwa kiasi kikubwa wazawa wa pale walihusika pia kwa kiasi kikubwa hii inaonesha hata mitazamo ya wazawa imebadilika kwa kiasi fulani tofauti na awali.
 
Ni kwamba.....

1. Israel ni Marekani na Marekani ni Israel

2. Wale wote wanaoichukia Israel huku wakiwaunga mkono Hamas wanaofadhiliwa na Iran, Yemen na Lebanon ni WAPUMBAVU

3. Tokea miaka 4000 iliyopita hiyo ni Ardhi ya Israel na itaendelea kuwa Ardhi ya Israel daima na milele.

4. Ukiichokoza tu Israel tegemea Maafa makubwa na tutakupata popote pale utakapojificha

5. Vita yetu na Hamas haijaisha na itaisha pale tu ambapo Watasalimu amri na pia Kuwaambia hao Wanaowatuma ( hasa Iran ) nao Wasalimu amri

6. Israel inapambana na hawa Magaidi na Wauwaji wa Watu kwa Maslahi mapana ya si tu Israel bali hata Marekani na dunia nzima kwani tunajua kuwa Iran ndiyo mchochezi Mkuu wa Vitendo vyote vya Kigaidi duniani na kwamba hata ule Ulipuwaji wa Mabomu katika Balozi za Marekani kule Barani Afrika Iran ndiyo Ilifadhili wale Magaidi kwakuwa tokea mwaka 1979 Iran ina Chuki Kubwa na Kisasi na Taifa la Marekani na Washirika wake hasa Sisi Israel ambao ni Washirika Wakuu wake kwa eneo la Mashariki ya Kati

7. Nawashukuru Marais Biden na hata aliyekuwa Rais Trump kwa kuendelea Kushirikiana nasi Israel na kutusaidia na Silaha zingine za Kupambana na hawa Magaidi na Wapumbavu, pia nawashukuru Wamarekani wote kwa Kutuamini mno Sisi Waisrael na kwamba tunaomba Marekani iendelee kutupa Silaha zaidi upesi sana ili tumalize kabisa Shughuli huko Mashariki ya Kati ili kutulie na dunia nayo itulie. Wale wanatuona Israel tunaharibu iko Siku na haiko mbali watakuja Kugundua na Kuamini kuwa Israel ulikuwa haipigani kwa ajili ya Maslahi ya Israel bali ni kwa ajili ya Maslahi mapana ya Marekani na Dunia nzima

GENTAMYCINE sijawahi kupenda Vibovu Vibovu na mpaka unaona Avatar yangu hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013 ni ya huyu huyu Mwamba na Mwanamume wa Shoka Benjamin BIBI Netanyahu ( Waziri Mkuu wa sasa wa Israeli ) jua nina uhakika nae, namkubali sana halafu ana Characters ambazo tunafanana kama za 1. Akili Kubwa, 2. Mthubutu, 3. Asiyeogopa, 4. Anajiamini, 5. Mbabe, 6. Msomi mzuri na 7. Muona mbali Kimtizamo na Kimaamuzi.

Asante sana Benjamin BIBI Netanyahu hakika Speech yako ya Jana ya dakika 45 tu na Iliyonyooka ikiwa na Details nyingi za Kijasusi na Kijeshi imethibitisha kuwa Wewe ni Kiongozi Jemedari hasa ambaye si tu Israeli inakuhitaji bali hata Marekani na Sisi Waafrika pia tunakuhitaji.

Tafadhali endelea Kuninyooshea hao Wapumbavu mpaka wajue kuwa Israeli hana Mpinzani hapa Duniani na pia hata Mwenyezi Mungu hakukosea Kuliita ni TAIFA LAKE TEULE.

Imeisha hiyo..........!!!
exactly 100%
 
Back
Top Bottom